Lecture series
Fasihi Simulizi na Changamano la Bahari Hindi Maana na Mafunzo ya Visasuli kutoka Makunduchi Zanzibar
Ndugu waheshimiwa, wapendwa wanafunzi na marafiki zetu, Baada ya wingi wa salamu ni furaha yetu kubwa kutangaza kikao kifuatacho cha
Baraza letu la Kiswahili la Berlin (BALAKI‐BE) la tarehe 7 Februari 2022
Fasihi Simulizi na Changamano la Bahari Hindi
Maana na Mafunzo ya Visasuli kutoka Makunduchi Zanzibar
This event is part of the lecture series:
Presentation and Discussion Sessions in Swahili 2022
Baraza la Kiswahili la Berlin
Details
Online